Critiano Ronalldo katika picha ya pamoj akiwa na marafiki zake
Sikukuu
ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa
bara la Ulaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na
Afrika, Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka
walivyopost au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa
karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni mwa mastaa wanaosherehekea
sikukuu hii ni Luis Suarez, Neymar, Cristiano Ronaldo, Beckham na
familia yake.

Staa wa FC Barcelona Neymar

Beckham na familia yake

David Beckham akiota moto akiwa na kofia ya Chrismass

Mkongwe wa zamani wa Juventus Andre Pirlo akiwa katika mti wa Chrismass

Mkali wa Chelsea Cesc Fabregas akiwa na familia yake
Mshambuliaji wa Man City Sergio Aguero akiwa na mtoto wake mbele ya mti wa Chrismass

Mcheza ji wa Liverpool Philippe Coutinho akiwa na mkewe na mtoto wake

Beki wa zamani wa Man United Rio Ferdinand akiwa katika mavazi ya father Chrismass

Nahodha wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard akiwa na zawadi za Chrismass

Luis Suarez akiwa na mkewe Sofia Balbi

Mchezaji wa Chelsea Willian akiwa na familia yake

Ivan Rakitic wa FC Barcelona akiwa na familia yake

James Rodriguez wa Real Madrid akiwa na mpenzi wake

Nyota wa Arsenal wakifurahia kwa pamoja

Wachezaji wa Arsenal Calum Chambers na Oxlade-Chamberlain wakiimba na kusherekea sikukuu ya Chrismass

Mchezaji wa Chelsea Oscar akisherehekea na familia yake
Staa wa FC Barcelona Neymar
Beckham na familia yake
David Beckham akiota moto akiwa na kofia ya Chrismass
Mkongwe wa zamani wa Juventus Andre Pirlo akiwa katika mti wa Chrismass
Mkali wa Chelsea Cesc Fabregas akiwa na familia yake
Mcheza ji wa Liverpool Philippe Coutinho akiwa na mkewe na mtoto wake
Beki wa zamani wa Man United Rio Ferdinand akiwa katika mavazi ya father Chrismass
Nahodha wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard akiwa na zawadi za Chrismass
Luis Suarez akiwa na mkewe Sofia Balbi
Mchezaji wa Chelsea Willian akiwa na familia yake
Ivan Rakitic wa FC Barcelona akiwa na familia yake
James Rodriguez wa Real Madrid akiwa na mpenzi wake
Nyota wa Arsenal wakifurahia kwa pamoja
Wachezaji wa Arsenal Calum Chambers na Oxlade-Chamberlain wakiimba na kusherekea sikukuu ya Chrismass
Mchezaji wa Chelsea Oscar akisherehekea na familia yake
0 comments:
Post a Comment