Rapper Future ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Rich $ex’, na kwenye video hiyo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake.
Japo kuwa Future ambaye ni ex na baby dady wa Ciara na Chyna ambaye
ni ex na baby mama wa Tyga wamekuwa wakikanusha kuwa sio wapenzi, lakini
video hii inalazimisha kuamini kuwa wanatoka.
Kingnie cha kushangaza ni hiki, October 25 ambayo ni siku aliyozaliwa
Ciara, ndio siku ambayo Blac Chyna alionesha tattoo ya jina la Future
mkononi na kufanya watu waamini kuwa ni wapenzi, na November 19 ambayo
ni siku aliyozaliwa Tyga, ndio siku ambayo Future ametoa video mpya
ambayo amemtumia Blac Chyna kama mpenzi wake!
0 comments:
Post a Comment