Los Angeles, Marekani.
MKALI wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber usiku wa kuamkia leo aliumbuka jukwaani baada ya kutimba na ‘Skate Board’ kisha kuteleza na kumuumiza goti.
Tukio
hilo lilitokea katika Ukumbi wa Staples Center, Los Angeles Marekani
ambapo Bieber alionekana akiingia kwa mbwewe na Skate Board na baada ya
kufika jukwaani akateleza na kujikuta katika wakati mgumu.
Hata hivyo ili kuzuga, Justin aliamua kupanda tena Skate Board japokuwa alikuwa tayari ameshapata maumivu ya kutosha.Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Bieber aliweka kipande cha video hiyo na jinsi alivyopata maumivu.
MKALI wa Ngoma ya What Do You Mean, Justin Bieber usiku wa kuamkia leo aliumbuka jukwaani baada ya kutimba na ‘Skate Board’ kisha kuteleza na kumuumiza goti.
Hata hivyo ili kuzuga, Justin aliamua kupanda tena Skate Board japokuwa alikuwa tayari ameshapata maumivu ya kutosha.Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Bieber aliweka kipande cha video hiyo na jinsi alivyopata maumivu.
0 comments:
Post a Comment