Picha iliyowekwa na Chidinma Instagram.
SIKU chache zilizopita iliripotiwa kuwa staa anayekuja juu Nigeria
aliyewahi kutoka kimapenzi na ‘video queen’ wa Kibongo, Agnes Gerald
‘Masogange’, Tekno yuko katika penzi jipya baada ya kuanikwa na
mwanadada Chidinma.Baada ya Chidinma ambaye amekuwa akitajwa kutoka na mastaa kibao Nigeria kuposti picha hiyo akiandika “Me and Bae”, Tekno alijibu mapigo kwa kuposti video inayowaonyesha wakiwa katika hali ya kimahaba, lakini Chidinma alipoulizwa na waandishi wa habari nini kiliendelea kati yao alikanusha kuwa na uhusiano na staa huyo mpya kwenye gemu la muziki Nigeria.
0 comments:
Post a Comment