35 PICHAZ: Shuhudia Mwanzo Mwisho Mshindi wa Miss Universe 2015 TZ Alivyopatikana Dar Usiku wa Kuamkia Leo


Usiku wa November 20 2015 ulimwengu wa urembo Tanzania umeandika historia nyingine kubwa na nzuri ambapo mrembo mmoja aliibuka na ushindi wa taji la Miss Universe 2015 !! anahesabu siku chache tu kugusa stage ya Miss Universe duniani !
List ya warembo waliogusa TOP 3 ya Miss Universe 2015 ilikuwa hivi:

Washindi wenyewe kwenye ubora wao, Lilian Loth (mshindi wa pili kushoto), Lorraine Marriott (mshindi wa kwanza katikati) na Willice Donald (mshindi wa tatu kulia)
Hapa ninazo picha kuanzia red carpet mpaka mwisho alivyopatikana mshindi.







Ben Pol kwenye stage.


Mrembo Nelly Kamwelu on the stage !!







Maria Sarungi, mwandaaji wa mashindano ya Miss Universe Tanzania.






Kwenye meza ya Majaji, kulia ni Sheria Ngowi.


Meza ya Majaji, mrembo Miriam Odemba na Ernest Napoleon.








Meza yote ya Majaji.



















Watu na selfie zao !! Martin Kadinda na Miriam Odemba.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment