Hii ni mara ya kwanza kwa mwana dada huyo Karrueche kuonekana katika video ya Chris Brown,mara baada ya kuwa na misukosuko katika mahusiano yao Chris amemuweka mwana dada huyo kucheza kama video queen.
Video inaitwa Autumn Leaves akiwa ameshirikishwa Kendrick lamar.Video imeachiwa jana tarehe 22 january 2015
Video inaitwa Autumn Leaves akiwa ameshirikishwa Kendrick lamar.Video imeachiwa jana tarehe 22 january 2015
Kwenye wimbo huu wa Autumn Leaves unapatikana katika album yake ya X akiwa amemshirikisha Kendrick lamar lakini hajaonekana kwenye video hiyo


Rasmi imeaachiwa jana katika TV stations! Itazame hapa chini!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!

0 comments:
Post a Comment