Mtoto wa muigizaji maarufu wa nchini Marekani na aliyekua mwanamziki Will Smith,ameshangaza watu mara baada ya Willow Smith kupost picha aliyokua amevaa kuwaacha maswali mengi.
Willow mwenye umri wa miaka 13 ambae pia ni mwanamziki ,kilichoababisha watu wajiulize maswali mengi ni kutokana na nguo aliyokua amevaa. Wengine wanasema nguo imechorwa na wengine wanadai nguo ni transparent yaani inaonesha mpaka ndani.
Kwa kuitazama vizuri picha hiyo utagundua inaonesha kama yupo mtupu.

BANGI KUUZWA DUKANI KAMA BIDHAA NYINGINE HUKO JAMAICA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA! PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!

0 comments:
Post a Comment