HABARI NJEMA! MODEL WA TZ, HAPPINESS MAGESE NDANI YA VIDEO YA MSANII WA KIMATAIFA!

2014 ni mwaka wenye historia kubwa kwenye burudani, muziki ni moja ya vitu vilivyoiweka Tz kwenye headlines za Kimataifa, mastaa wengi wamewakilisha vizuri nje, sitashangaa 2015 Tz ikapaa juu zaidi kwenye level za Kimataifa!

Tumeona wasanii wetu wakitumia models mbalimbali kutoka nje kwenye video zao, ni fahari kwetu tena, staa wa mitindo Bongo, Tanzania Supermodel Millen Magese kuonekana kwenye video ya staa wa muziki kutoka Nigeria, Banky W kwenye wimbo wake mpya, ‘Lowkey’ . 

Millen ameigiza kama mwalimu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mwanafunzi wake, video imefanywa New York city.
10707103_378921812261549_108631701_n

timthumb

1168863_622261754545724_856836884_n
 CaptureLowkey-700x322
 Banky-600x310
Mcheki hapa sasa, staa wetu Millen Magese na Banky W.
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO. 
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment