13 PICHAZ: Auwawa kwa Kuchomwa Moto Mjini Shinyinga Baada ya Kuiba Sandals

Mwanamme mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka kati ya 30 hadi 32 aliyekuwa anajulikana kwa jina la WA TABORA ameuawa kwa kupigwa kasha kuchomwa moto na wananchi waliojichukulia sheria mkononi karibu na makaburi ya Majengo mjini Shinyanga.Tukio hilo limetokea mchana huu na inaelezwa kuwa chanzo ni mwanamme huyo kutuhumiwa kuiba sandals(ndala)

Mwili wa marehemu ukiwa katika shamba la bibi Jeni Kiweru karibu na makaburi ya majengo mjini Shinyanga

Inaelezwa kuwa aliyeuawa alikuwa na tabia za wizi na mara kwa mara alikuwa anapigwa kwa tabia zake na leo zimetimia za mwizi 40

Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akishirikiana na msamaria mwema kusitiri mwili wa marehemu

Mwili wa marehemu baada ya kusitiriwa

Gari la polisi likiwasili eneo la tukio kuchukua mwili wa marehemu

Mamia ya wakazi wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio

Askari wa jeshi la polisi wakichukua mwili wa marehemu

Askari polisi wakiondoka na mwili wa marehemu

Askari polisi wakiondoka eneo la tukio

Wakazi wa Shinyanga wakiondoka eneo la tukio

Wakazi wa Shinyanga mjini wakiondoka eneo la tukio.
PICHAZ+VIDEO: MWANAMKE MWENYE ‘MAHIPS’ MAKUBWA AINGIA KATIKA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA GUINNESS
====>>JIONEE HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO. 
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!
Na Malunde1 Blog
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment