amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana, kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania. Nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.
MAPENZI NA VIJAMBO: SIKO FREE NASHINDWA KULALA NA MPENZI WANGU USIKU MZIMA! NISAIDIENI!
amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana, kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania. Nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.
0 comments:
Post a Comment