Lakini niwaeleze tu hasa wadada ukiona umesifiwa sifa hadi ambazo huna ujue lengo la msifiaji ni kukugegeda tu na akishafanya hivyo lazima akupige chini labda kama ameona kingine cha ziada huko faraghani.
Jihadharini na sifa zisizo za kweli.
Jihadharini na sifa zisizo za kweli.
0 comments:
Post a Comment