Kama wiki mbili sasa amekuwa na tabia ya ajabu sana, kila tunapokutana faragha amekuwa akinilazimisha kunipiga picha za uchi, me nimekuwa nikimkataria na kuwa mkali kwa nini anifanyie hivyo...??
Lakini yeye amekuwa akinilazimisha na kung'ang'ania sana mpaka anakasirika na kuondoka kabisa..
Sasa me simuelewi jamani naombeni ushauri wenu, nia yake ni nini huyu mwanaume, ana mapenzi ya kweli na mimi au la....???
USHAURI PLEASE maana hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa.
Sasa me simuelewi jamani naombeni ushauri wenu, nia yake ni nini huyu mwanaume, ana mapenzi ya kweli na mimi au la....???
USHAURI PLEASE maana hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa.
0 comments:
Post a Comment