UTATA: MREMBO HUYU HAWEZI LALA BILA KUPATA DOZI, NI UGONJWA AU KUJIENDEKEZA TU JAMANI?!

Wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.
AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua tunamsindikiza) japo tulikua bodin. Kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake

Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina. SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza? Please tell me kwa comment box hapo chini wadau wa blog hii!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment