(PHOTOS) KIM NA KANYE WEST WATUPIAMO TENA NA KUPATA LIKES NYINGI ZAIDI MTANDAONI

Wiki chache zilizopita selfie aliyopiga Kim Kardashian wakati Kanye  West amelala ilipata umaarufu mkubwa na kupata likes nyingi sana kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashain.
Hivi sasa Kim na Kanye wamepiga picha waki-kiss kwenye elevator, kama kawaida ya Kim Kardashian ametengeneza headline baada ya kuiweka instagram.

Hadi post hii inaenda hewani picha hiyo imepata likes zaidi ya lakini tisa.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment