HOT PHOTOS: NI SHIIDAAAA...MADANSA WA VANESSA WAKIFANYA YAO KWA STAGE FISTA MWANZA...!

Naona staa mwingine ambae wengi wanatamani awepo kwenye kila jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 linalopita kwenye mikoa 18 ambapo baada ya Mwanza weekend iliyopita ya August 9 2014, ni zamu ya Bukoba weekend hii.

Ndani ya muda mfupi ujao chini kabisa kwenye hii post kutakua na video ya Vanessa Mdee akiperform hit single yake ya ‘closer’.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment