UJERUMANI imetoa kipigo cha bao 4-0 kwa Ureno katika mechi ya kundi G ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Mabao ya Ujerumani yamewekwa kimiani na Thomas Muller aliyefunga hat-trick na la nne likifungwa na Mats Hummels. Katika mechi hiyo, Pepe wa Ureno alizawadiwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kichwa Muller.
URENO CHALI, YAPIGWA 4-0 NA UJERUMANI, MULLER APIGA HAT-TRICK
UJERUMANI imetoa kipigo cha bao 4-0 kwa Ureno katika mechi ya kundi G ya Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil. Mabao ya Ujerumani yamewekwa kimiani na Thomas Muller aliyefunga hat-trick na la nne likifungwa na Mats Hummels. Katika mechi hiyo, Pepe wa Ureno alizawadiwa kadi nyekundu baada ya kumpiga kichwa Muller.
0 comments:
Post a Comment