Mdogo wa KIM Kardashian Atembea Utupu Mitaani Bila Aibu!

Kylie Jenner atembea mitaani huku amevaa kivazi kilichoacha wazi sehemu zake nyeti.
MDOGO wa mwanamitindo na mtangazaji wa Kipindi cha The Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian, Kylie Jenner hivi karibuni alibamba akiwa na kivazi kilichoanika maeneo yake ya sehemu nyeti.

Kylie Jenner akizidi kukata mitaa na kivazi hicho.
Tukio hilo lilitokea pande za New York, Marekani ambapo Kylie (18) alikuwa katika moja ya matembezi yake lakini kutokana na nguo aliyovaa ilimfanya kuonesha wazi kabisa eneo lake nyeti.

Hivi karibuni pia kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kylie aliposti picha tata (hapo juu) ikimuonesha eneo la nyuma huku akiwa ameshikilia kopo maalum lililokuwa na dawa za kuongeza makalio na matiti huku akidai yupo bize katika kufanya kazi na kampuni inayosambaza bidhaa hizo.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment