January 9 2016 mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa Wachezaji wa ndani Mbwana Samatta aliungana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye na Watanzania wengine kusherehekea ushindi wa tuzo yake ambapo msafara ulianzia town Dar es salaam mpaka Escape One Mikocheni.
Tazama video hiyo hapa
0 comments:
Post a Comment