Tazama VIDEO ya Vituko Vya Mashabiki na Magoli ya Mechi ya MTIBWA Sugar 1-2 YANGA SC Mapinduzi Cup 2016

Usiku wa January 7 ulipigwa mchezo wa mwisho wa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuzikutanisha klabu za Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani dhidi ya klabu ya Dar Es Salaam Young Africa. Timu zote hizo zilikuwa zimefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Lakini mchezo haukuwa rahisi, ulikuwa ni wa vituko mbwembwe za mashabiki wa Yanga baada ya ushindi wa goli 2-1. Cheki video ya kila kilichotokea.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment