Tazama VIDEO ya Goli na Sehemu ya Mechi ya SIMBA SC Vs JKU, Full Time SIMBA 1-0 JKU

Usiku wa January 8 klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba iliimaliza michezo yake ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2016, kwa kuitembezea kichapo cha goli 1-0 klabu ya JKU ya Zanzibar, huku goli hilo likifungwa na Jonas Mkude dakika ya 65 ya mchezo. Cheki video ya sehemu ya mchezo na goli lenyewe mtu wangu.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment