Rais mstaafu wa awamu ya nne Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alikwenda Ikulu Dar es salaam January 6 2016 kukutana na Rais Magufuli ambapo taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema kwenye mazungumzo yao JK alimtakia heri ya mwaka mpya JPM na kumpongeza kwa uongozi mzuri.
Pia JK alisema anaunga mkono juhudi mbalimbali zinazofanywa na Rais Magufuli ikiwemo ukusanyaji wa mapato ya serikali.
0 comments:
Post a Comment