Kutoa Harufu Mbaya Sehemu za Siri Kwa Wanawake!


Kuna mshikaji wangu ana mpenz wake lakini alivyonambia huwa hafurahii tendo kwa sababu ya huyo mpenzi wake kutoa harufu mbaya kila wanapoanza kufanya sex
Na sasa hivi ana mpango wa kuachana nae kimya kimya bila kumwelezea tatizo


Suluhisho kwa hili tatizo 
Tafadhali mwenye ujuzi wa namna ya kuondoa tatizo hilo afunguke hapa chini!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment