HAPA KAZI TU! Waziri wa Afya Mguu Kwa Mguu Kwa Kila Mgonjwa Hospitali ya Mkoa Geita... (+Audio)


Weekend ya January 10 inakwenda kukamilika mtu wangu, lakini kabla hatujaikamilisha acha ni kusogezee hii ya Waziri wa Magufuli ambae kwenye hii kasi ya Hapa Kazi tu, hataki utani kazini…ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wiki hii aliamua kwenda mguu kwa mguu kwenye Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita kuwaona wagonjwa na kuongea nao kila mmoja aseme tatizo alilokutana nalo kwenye kupatiwa huduma; – Ummy Mwalimu Waziri wa Afya

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akiongea na wagonjwa wodini

Waziri wa Afya akapita Mapokezi


Ummy Mwalimu akipata maelezo Hospitali ya Mkoa Geita
Kumsikiliza Waziri wa Afya alivyopita kwa kila mgonjwa, bonyeza play hapa
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment