Mtu wangu kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi
on EATV December 21, 2015 usiku hizi ni sentensi za Mtangazaji wa
Clouds FM, Diva aka The Bawse kuhusu uhusiano na rapper kutokea Kenya
Prezzo pamoja na ugomvi uliotokea Agosti 24, 2015 kwenye kipindi cha XXL kati yake na Diamond Platnumz.
‘Kwanza
Prezo tulikuwa ni kama marafiki, hatukuwahi kuwa faragha,”Sikutaka Prezo
anioe, he is really nice ila simkumbuki kabisa bali namkumbuka kama
msanii,Sasa hivi nafanya mambo yangu, I don’t even talk about dating
someone– Diva Loveness
“Kwanza
mimi sijawahi kumtongoza msanii halafu wasanii wengi wa Bongo Fleva ni
marafiki zangu, kwanza watu waelewe sana Familia yangu huwa inaumia sana
sana kwa hizi scandal-Diva Loveness

Salama:..’Ebu tuzungumzie kidogo ishu ya wewe na Diamond Platnumz ilikuwaje?
Salama:..’Ebu tuzungumzie kidogo ishu ya wewe na Diamond Platnumz ilikuwaje?
Diva:…‘Ishu
ya Diamond mimi niliingia Studio ili niandae kipindi changu ndio
ikatokea kilichotokea, ila baadae akaja kuniomba msamaha yaani aliandika
barua na ikapita kwenye uongozi wangu kutokana na kile alichokuwa
akikizungumza kwani alinidhalilisha nikiwa kama msichana– Diva Loveness
0 comments:
Post a Comment