Kama wewe ni msichana unapenda wanaume matajiri na kushauri tu uache hizo tamaa zako kwa sababu kwanza unatakiwa ujue wanaume matajiri wapo wa chache kwa hiyo sio rahisi kuwapata wakakuoa ni bora ukomae tu na maskini wenzio ipo siku mnaweza mkatoka, pili asilimia kubwa ya wanaume waliofanikiwa walikuwa na wapenzi wao Tangu zamani, kuna usemi unasema "kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke shupavu" kwa hiyo wwe kama msichana sio rahisi kuwapata wanaume matajiri wakakuoa labda wakutumie tu kama chombo cha starehe,na choku washauri komaeni na maskini wenzenu mtatoka tu shida zina mwisho wake mkiji tuma.
Note: no short cut to process.

0 comments:
Post a Comment