HUU NDIO UTUNDU WA KUCHEZEA KINEMBE KWA UFASAHA...JIFUNZE HAPA!

Kinembe ni moja katika maeneo muhimu sana ambayo yanaamsha hisia za jimai kwa mwanamke. Kukichezea kwa mwanamme ni muhimu sana ili kusisimsha hisia za kutamani kuingiliwa kwa mwanamke.

Jinsi ya kukichezea inatakiwa iwe kwa upole na uangalifu mkubwa. Kinaweza kuchezewa kwa njia ya mkono au kwa njia ya kichwa cha dhakari ya mwanamme, na baada ya hapo ndipo anapoweza mwanamme kumuingilia mkewe na kukamilisha haja na matamanio yao.

Hali kadhalika inapendeza zaidi kwa mwanamke kuendelea kuchezewa kinembe hata baada ya kuingiliwa au Jimai kumalizika ili kumsisimsha zaidi na hivyo kufikia kileleni kama bado hajafikia alipokuwa akiingiliwa na mumewe.
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment