Hivi Ndivyo FRANCIS CHEKA Alivyopewa Kichapo Nyumbani Kwao na THOMAS MASHALI

Bondia Thomas Mashali kutoka Dar amempiga Francis Cheka kwa pointi mjini Morogoro katika pambano la raundi 10, uzito wa Kg 77.
Majaji wamempa Mashali pointi 94, 96 na 97 wakati mwenyeji Cheka amepata pointi 96, 93 na 93
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment