Zikiwa zimebaki siku chache kusherehekea sikukuu ya krismasi na Mwaka mpya hali ya usafiri katika kituo cha mabasi cha Ubungo imeendelea kuwa mbaya ambapo mamia ya abiria wanalazimika kugombea gari moja ili kupata nafasi kuelekea waendako wengine wakionekana kukata tamaa huku magari yakiwa ni machache na abiria wakiwa wengi kituoni hapo.
Home / KITAIFA /
MATUKIO
/ Breaking News: Hali Yazidi Kuwa Mbaya UBUNGO Jijini Dar... Wananchi Wakata Tamaa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment