Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, Dar usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha 20 uone jinsi kilivyohappen
0 comments:
Post a Comment