Hali ya dunia kwa sasa imekuwa si nzuri sana, ulimwengu unakoelekea sasa
si kuzuri. Kwa anayechunguza zaidi mambo ya ulimwengu wa sasa unaweza
omba Mungu akuondoe katika ulimwengu huu. Leo tuangazie siala sugu la
mapenzi hasa ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Fuatilia baadhi ya madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile hapa (Ni mbaya sana usijaribu)
- Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto. Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
- Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
- Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
- Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.
- Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
- Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na
kuilaumu nafsi yako. Nina imani umeona baadhi ya madhara hatari kwa
mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile.
Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza muda mrefu utamsumbua kuuacha
kutokana na hali anayokutana nayo. Lakini ukiivumilia kwa muda lazima
itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.
0 comments:
Post a Comment