Siku zote tutashindana lakini mimi nitabakia namba moja, nayajua uyajuayo na usiyojua kaa chini, mwari nikufunde, ulikimbia unyago hujui mizungu inaokotwaje. Ndiyo maana nikasema mtashindana lakini hamtashinda, namba moja nitabakia mwenyewe.
Wapo wanaotaka eti tukutane hadharani tuoneshane nani zaidi, bado nakuelezeni msipoteze muda wenu kunijadili. Moja mpaka kumi nimekamata mie, sijui ninyi wenzangu mmeshika namba ngapi maana hata kwenye kumi bora hampo.
Hebu nipishe niwape raha au unataka umaarufu kupitia jina langu, sikukatazi lakini kimoyomoyo unajua kabisa Anti Nasra namba moja yake mpaka kumi ila kuanzia kumi na moja kanyaganeni huko siwaingilii.
Hebu tuzungumze kilichotutoa majumbani kwetu na kununua gazeti kisha kuisoma kona hii. Leo nataka kuzungumza na mijanamume yenye kukimbilia kwa waganga kuongeza ukubwa wa nyeti. Jamani nakuulizeni ninyi waganga wa kienyeji unaoongeza ukubwa wa bakora unajua ukubwa wa chungu anachokwenda kuingiza mwiko wake.
Unajisikia raha gani unapoingiza mwiko kwenye chungu mwenzio anauma meno kwa maumivu nani alikuambia raha upate wewe peke yako? Basi leo nataka kuwaelezea kitu kimoja, hasa ninyi mnaojiona bakora zenu fupi.
Hebu nisikilize, tena nisikilize kwa makini kutomfurahisha mpenzio si mdogo wa mwiko bali kujua kuutumia, unakimbilia kuongeza ukubwa wa nanihino ili umfurahishe mkeo au umkomoe?
Siku zote vita ni mbinu, si maguvu mengi vilevile utamu wa mahaba uwe mtundu wa kujua nikae engo gani mpenzio anapokuwa amekaa mkao fulani. Wengi najua hamjui matumizi ya mitindo ya mapenzi maana ya mitindo ya mapenzi ni kutokana na maumbile ya mwanaume.
Kama mpenzio mfupi unatakiwa umweke mtindo gani na kama mrefu vilevile ujue akikaaje atafurahi kuwa nawe.
Ukiisha jua matumizi ya mitindo ya mapenzi hutasumbuka kukimbilia kwa waganga, hivi nani aliyekuambia mpaka ufike chini ya mchanga ndipo mpenzio apate raha, jamani raha zinapatikana hata mwanzo wa kisima kwa kujua kuteka maji kwa kata.
Huchoti maji mengi, zana kidogo… kidogo… kidogo… kidogo, hebu kajaribu umsikie mpenzio atakupa salamu gani.
Pia nataka kuwaeleza wote wanaokimbilia kuongeza ukubwa wa bakora zao kwamba kufanya hivyo ni kujitafutia matatizo.
Hivi jamani kucha zinazokuna kwa raha fupi au ndefu, siku zote kucha fupi zina raha yake, ukiwa na kucha ndefu huwezi kumkuna mtu zaidi ya kumuumiza na kumsababishia vidonda.
Tuonane wiki ijayo.

0 comments:
Post a Comment