Bilionea MENGI Azomewa Diamond Jubilee, Aokolewa na MEMBE

Mzee yamemkuta leo pale kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana.Ameokolewa na Mh Membe ambaye amemtoa kwa gari lake(pichani).Lakini pia Mwandishi Sam Maela wa ITV leo mchana kapata mshike mshike wa kushiba pale Lumumba,ilibidi aokolewa na polisi.Jamani haste haste.Kuna maisha baada ya Uchaguzi.Lile lilikuwa gemu tu.Mwacheni huyo Mzee,
SOURCE - JAMII FORUMS
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment