Hizi teknolojia zinatupeleka mbali sana kiukweli, kupitia Kandili Yetu ni juzi tu kulikuwa na story ya viatuvinavyojifunga kamba, leo kuna huu mkanda, huna haja ya kuulegeza ama kuukaza, hayo yote unafanya wenyewe.
Mkanda huo uliobuniwa Paris unaweza kujirekebisha wenyewe kiunoni, ukila ukashiba huna haja ya kuuweka sawa, utakaa wenyewe size sana na kiuno kilivyo, au unapokaa chini na kusimama kazi ni hiyo hiyo mtu wangu.
Huu niubunifu wa Kampuni ya Consumer Electronics Show (CES), hawajasema ni lini utaingia sokoni lini na kuuzwa bei gani.
Smartphone app itakusaidia kurekebisha size ambayo unataka mkanda huo ujifunge.
Unaweza kubonyeza play kuangalia ufanisi wake hapa.
KWISHNEI: ISABELA, KARAMA WAMWAGANA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA! PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!

0 comments:
Post a Comment