VIDEO: HATARI SANA! Huu ndio uamuzi aliouchukua Mama huyu baada ya mwanaye kuzaliwa akiwa na meno

Ni jambo la kushangaza kidogo kuona mtoto akizaliwa huku akiwa na meno tayari lakini mama huyo anayeishi katika mji wa Missouri, Marekani ametamka kuwa hataweza kumnyonyesha mtoto wake aliyemzaa baada ya kugundulika kuwa amezaliwa akiwa na meno mawili ya mbele. 

Wamesema alizaliwa akiwa na meno mawili ya mbele,imekua ni mshtuko kwa kila mtu kwani ni jambo la ajabu kidogo:-Bailey

Alisema mbali ya watu kushangaa pia madaktari walikua wakishangaa. 

Alisema kutokana na hali hiyo Alyssa Bella atakua akinywa maziwa ya kopo na si kunyonya.
Tazama video hiyo hapo chini. Kama kifaa chako hakisomi player hii===>>BOFYA HAPA!
PICHAZ: OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWASHITUKIZA WANAFUNZI MBEZI HIGH SCHOOL
===>>SHUHUDIA HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA! 
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment