HAIKUBALIKI: AMBER ROSE ASIMULIA WIZ KHALIFA ALIVYOFANYIWA VIBAYA NA FAMILIA YAKE!

Mrembo mwenye shepu murua matata, Amber Rose ameweka wazi jinsi familia yake ilivyomtenga baada ya kuolewa na Wiz Khalifa.

Rose ameongea kwenye documentary iitwayo Light Girls kuwa baadhi ya ndugu zake hawakuhudhuria harusi yake na Wiz Khalifa kwakuwa aliolewa na mtu mweusi.

Rose mwenye asili ya Creole, Ureno na Italia alieleza kuwa baadhi ya ndugu zake bado wanawatenga watu wenye ngozi nyeusi na wanadhani ngozi yao nyeupe inawafanya kuwa bora zaidi
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO. 
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO
TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142
KARIBU TENA!
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment