Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake. Hawahusu majungu, wambeya hata wampelekee semi trailer la majungu kamwe hawasikilizi.
manne.
Hawana majisifu kama kina Mutashobya, Rugakingira, Rweyemamu etc. Hawana roho mbaya wala za kwanini.

0 comments:
Post a Comment