Kwa mujibu wa upashikuna na unoko huu, huyo dada alizoea sana kuwa vijana wengi wana ududu mdogo sana na hivyo kuanza kumtania kaka mmoja kuwa hata akimpa, hawezi mfikisha kwa sababu ni laizma ana ududu mdogo.
Jamaa alimbembeleza mtoto hadi akajaa kwenye laini. Hapo ndipo alipogundua siyo watu wote wenye vijidudu ndani ya suruali, wengine wana mapanga, mashoka, machepe na marungu makubwa makubwa!
Mrembo huyo alipoona hawezi kuzuia mashine kubwa hivyo, alikimbia huku kashika kachupi kake mkononi kama SIDE MNYAMWEZI wa Temba!
0 comments:
Post a Comment