Sipendi Jinsi watu wanavyonisema kila nipitapo eti makalio yangu ya Mchina wakati mimi nimezaliwa hivyo hivyo toka nikiwa mdogo makalio yangu yalikuwa makubwa , kama unabisha uliza hata nilio soma nao shule ya msingi , Ki kweli sipendi hiyo tabia ya watu kila wakiona mtu amejaliwa basi eti ni fake wengine tumezaliwa hivyo jamani ..Khhaaaa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment