MAHABA NIUE: BINTI WA KITANGA MIE, KWA STYLE HIZI MUME WANGU HACHEPUKI ASILANI!

Hi Admin,
Kila siku nasikia vilio vya wanawake wakilia Waume zao wanachepuka kwa hilo naweza sema wanayataka wenyewe, natamani niwafunde siku moja kidogo mjue kuwa akili ya Mwanaume ni kama mtoto mdogo yaaani ni vitu vidogo sana unaweza ukawa unamfanyia mumeo na hata siku moja asifikirie kuchepuka...
Mimi mme wangu akitoka kazini gia ya kwanza ni home na simlazimishi bali vijimambo vyangu vya uchokozi wa hapa na pale ndo vinamuwaisha, yaani namfanya mme wangu kama mtoto mdogo, kwa kupitia mavazi yangu na chakula nachompikia ni silaa moja wapo nayotumia ...Jamani Wanawake Wenzangu Amkeni ...Wacha Kulalamika
Consolata!

Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment