Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia jana.
Shishi Baby akifanya makamuzi. |
Shishi Baby akiagana na Mashabiki wake baada ya kufanya makamuzi ya ukweli katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
Roma Mkatoliki akiwarusha vilivyo wapenzi wa burudani waliofurika katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
Roma Mkatoliki akiongea na mashabiki wake.
Mashabiki wakiendelea kucheza na Roma.
Roma Mkatoliki akiendelea kufanya makamuzi.
Staa kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade akipiga shoo usiku huu katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Staa kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade akipiga shoo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib Bilali akisalimiana Makamu wa rais Mh.Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Miongoni mwa matukio yaliyosisimua kwenye tamasha hilo ni pale mechi za mpira wa miguu zilipokuwa zikichukua nafasi.
0 comments:
Post a Comment