PICHAZ: NI SHIDAAA AISEEE...KIVAZI CHA NICKI MINAJ CHAZUA GUMZO BET AWARDS 2014..!

Usiku wa kupokea tuzo za BET 2014 rapper kutoka kundi la WMCMB 'Young Money Cash Money Billionaire' ambaye amechukuwa  tuzo mbali mbali Nicki Minaj amemake headline kwa vazi alilokuwa kavaa.
Vazi ambalo alipanda nalo jukwaani na kupita nalo kwenye red carpet pamoja na kukaa nalo wakati wakusubiri tuzo lililokuwa likifanya kila mmoja kumtazama kwa namna yake.
Mbali na kupendeza rapper huyo amepata kuchukuwa tuzokupitia kinyang'anyiro cha Best Female HIP HOP Artist ambapo alikuwa na wasanii wengine waki wania naye.
Best Female Hip Hop Artist 'Nicki Minaj' akiwa kwa stage ya BET 2014 Awards wakati wa show yake ''The legendary Jason on the bike''
Best Female Hip Hop Artist 
Nicki Minaj (WINNER) 
Angel Haze
Charli Baltimore
Eve
Iggy Azalea
JE, WE NI MKUBWA?! BOFYA HAPA
Share on Google Plus

About Anonymous

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment